Pages

Tuesday, July 11, 2017

BREAKFAST


🍞BREAKFAST🍕🌽
*OPARATION YA MUNGU*
*EZEKIEL 36*
26 Nami nitawapa ninyi moyo mpya, nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa moyo wa jiwe uliomo ndani ya mwili wenu, nami nitawapa moyo wa nyama.
27 Nami nitatia roho yangu ndani yenu, na kuwaendesha katika sheria zangu, nanyi mtazishika hukumu zangu, na kuzitenda.
🔨 Ukimkubali Bwana Ukakubali kuongozwa na Roho MUNGU, Bwana ananyofoa Roho zote zilizopandwa na adui ndani yako.
🔨 Jifunze kujiachilia kwa Bwana, akufinyange yeye apendavyo, siyo upendavyo wewe. *2Nyak7:14*
🔨Uwezi tii Sheria za Bwana Mungu bila yeye kuachilia Roho yake ndani yako.
🔨 Ndio Ujue kilichozaliwa kwa Mwili ni Mwili na kilichozaliwa kwa Roho ni Roho.
#JiachieKwaYesu.
📚ES MEJA.

BREAKFAST


🌽BREAKFAST🍕🍞
*KUMFUATA YESU NI UJASILI*
*Mathayo 11*
12 Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.
👉🏼 Ukitaka KUMFUATA YESU lazima Ujikane, siyo Jambo jepesi Kunavipingamizi vingi
👉🏼 SHETANI anaupingamizi mkubwa sana:-
- Kumbuka kuna-maadui wakina *Kiburi cha Uzima*, Wakina Usingizi, Wakina Uchovu, Wakina Magonjwa, Wakina Stress, Wakina Ubusy na wengine wengi.
👉🏼 Nikupongeze wewe uliyeshinda hayo yote na Bado unasonga mbele Unasoma Neno,Unafanya maombi,kanisani hupo na kazi unafanya BWANA akutangulie.
*KazaMwendoUmalizeSafariSalama*
📚ES MEJA.
+255757215614.

BREAKFAST

🍞🍕BREAKFAST🌽
*LIZIKA ULICHONACHO*
*Mhubiri 4:6.*
Heri konzi moja pamoja na utulivu, kuliko konzi mbili pamoja na taabu.
👉🏼Kutolizika kunasababisha wetu kutoa Rushwa, Kuuza utu wao, Kupotosha haki.
👉🏼Lizika na hicho Kidogo ambacho ni halali yako, Bwana atakiongeza. He is a Multiplier.
👉🏼KUWA na Moyo wa Shikrani siku zote. Wasiolizika huwa hawashukuru.
*Ukiwa MWAMINIFU kwa Kidogo utawekwa kwa kikubwa pia*
##LiveUsLight
📚ES MEJA

BREAKFAST


🍞🍕BREAKFAST🌽
*LIZIKA ULICHONACHO*
*Mhubiri 4:6.*
Heri konzi moja pamoja na utulivu, kuliko konzi mbili pamoja na taabu.
👉🏼Kutolizika kunasababisha wetu kutoa Rushwa, Kuuza utu wao, Kupotosha haki.
👉🏼Lizika na hicho Kidogo ambacho ni halali yako, Bwana atakiongeza. He is a Multiplier.
👉🏼KUWA na Moyo wa Shikrani siku zote. Wasiolizika huwa hawashukuru.
*Ukiwa MWAMINIFU kwa Kidogo utawekwa kwa kikubwa pia*
##LiveUsLight
📚ES MEJA.

BREAKFAST


🍞🍕BREAKFAST🌽
*USINYAMAZE - HAJA ZAKO ZIJULIKANE KWA MUNGU.*
*ESTA 4*
1 Basi Mordeikai alipojua mambo yote yaliyofanyika, alizirarua nguo zake, akajivika gunia pamoja na majivu, akatoka hata kufika katikati ya mji, akalia kwa sauti kuu ya uchungu.
🌽👉🏼SHETANI ametengeneza mazingira kiasi KWAMBA tunaona kwamba maombi yetu hayawezi jibiwa.
🌽👉🏼 SHETANI anafurahi kuona unahuzunika mda wote, huzuni huondoa Roho ya maombi.
🌽👉🏼 Modekai alikuwa gate keeper lakini aliomba, hakuangalia position alimwangalia Anayemwomba. *Haja zake zilijulikana kwa Mungu.*
🌽👉🏼 Ukitaka Kujibiwa usijifanye mstarabu wewe omba,funga, Usiangalie Mtu mwangalie BWANA.
🔨Je Mahitaji yako Mungu anayajua?. Mara ya Mwisho ni lini umemkumbusha Bwana haja zako?.
#HataSasaBwanaAtafanya.
📚ES MEJA
+255757215614.

BREAKFAST


🌽BREAKFAST🍕🍞
*Kwa Nini Tunahubiri Injili?*
*Yohana 3*
16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
👉🏼🖐🏼SOMA KWANZA HILO ANDIKO HAPO JUU NO KUPE SABABA.
*Ukiulizwa Kwa nini Unaenda kanisani au Unajishughulisha na Mambo ya Mungu mwambie.*.
1⃣ Kwa maana Jinsi hii MUNGU alimtoa Yesu kwa Ajili yangu, nisipotee kwa hiyo lazima kumtangaza YESU.
2⃣ MUNGU aliupenda Ulimwengu na Mimi nikiwemo. Lazima nieleze watu wajue kwamba Mungu anaoupendo.
3⃣ Mungu alikusudia waaminio wasijewakapotea kwa hiyo lazima nishawishi watu WAPATE kuamini YESU.
4⃣ Yesu ameleta Umilele kwa waaminio, Baraka,Uweza,Heshima Vyote hivi ni Vya milele.
*NIFURAHA MBINGUNI MWENYE DHAMBI MMOJA AKIAMINI NA KUTUBU.*
📚ES MEJA
+255757215614.